Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aliloelekeza kuwa Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya zihamishwe ndani ya saa 24 kutoka katikati ya Jiji la Mbeya kwenda mahali popote ndani ya mipaka ya Halmashauri hiyo, limetekelezwa chini ya Ulinzi mkali wa vyombo vya dola.
Katika kuhakikisha kuwa ofisi hizo zinahamishwa, Chalamila alitinga katika ofisi hizo za Halmashauri akiwa na magari matano ya vyombo hivyo kwa ajili ya kufanya kazi ya kuhamisha nyaraka na mali nyingine za halmashauri hiyo.
MWANAJESHI NA POLISI WADAKWA KWA TUHUMA YA RUSHWA