Spika wa Bunge Job Ndugai amesema “Hadi sasa yamebaki Mabunge matatu tu kabla ya kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu, litapoisha Bunge la Bajeti, Rais anakuja kufunga zile kufuri zake”
“Wapo watu waliokuwa wanatubezabeza huko nyuma basi tutatoa account ya kwamba kama Bunge la 11 tumeweza kufanya mambo gani katika historia ya kuijenga nchi yetu na nyie mtapima kama kweli bunge hili limetimiza wajibu wake au hapana” Ndugai
MZEE AMUUMBUA ‘HAKIMU’ MBELE YA WAZIRI “ALIPEWA LAKI TANO NA MOLLEL”