CAG mstaafu Prof. Mussa Assad amemkabidhi Ofisi CAG mpya Charles Kichere leo katika Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Jijini DSM na kusema kuwa atampa ushirikiano wowote akihitaji mchango wake kwani yeye na Kichere wanafahamiana muda mrefu tangu akimfundisha UDSM.