Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akitoa taarifa juu ya Ofisi ya Mtendaji kuchomwa moto amesema “Usiku wa kuamkia leo, mtu au watu wasiofahamika walichoma Ofisi ya Mtendaji Kata ya Soweto na kusababisha nyaraka na samani kuungua, kuta zinaonesha zilimwagiwa petrol na kuwashwa kwa kiberiti, watekelezaji waliacha kiberiti kimekutwa na njiti na msokoto wa bangi”.
MNYIKA ATOA TAMKO LA CHADEMA BAADA YA KAULI YA JAFO “ANAONGEA KINYUME NA KANUNI”