Leo November 11, 2019 Ninayo stori kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homela ambapo amesema Mkoa wake upo katika mpango wa kujenga Hospitali ya Waganga ili Wananchi wenye matatizo mbalimbali wapatiwe matibabu.