Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo usiku wa November 29 2019 alikuwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kucheza pambano lake lisilo na Ubingwa dhidi ya bondia Arnel Tinampay.
Mwakinyo katika pambano hilo ameshimdwa kuandika historia kuwa bondia wa kwanza kuwahi kumpiga Arnel Tinampay kwa point zaidi ya kushinda kwa point i 97-93, 98-92 na 96-96 katika pambano la round 10.
Tinampay leo lilikuwa ni pambano lake la 52 kuwahi kucheza akishinda 26 na kupoteza mapambano 25, wakati Mwakinyo likiwa pambano lake la 18, akishinda 16 (KO11) na amepoteza mapambano mawili.