Watu zaidi ya 100 wamenusurika kifo baada ya basi la abiria la Harambee lililokuwa likitokea Arusha kwenda Moshi kufeli breki na kuyagonga magari mengine saba ya abiria na watu binafsi katika mzunguko wa magari eneo la Mnara wa saa mjini Moshi.
Stela Ringo ni miongoni mwa abiria aliyenusurika kifo katika ajali ya basi iliyogonga magari sita Wilayani Moshi ambapo amesema baada ya gari kufeli break na baadaye gari kwenda kusimama alimwambia dereva akimbie.
MAFURIKO DAR: MKASA WA DADA ALIEZAMA NA IST YAKE MTARONI