Natasha Poppe ni Mwanamke Mrembo kutoka Tanzania ambae mpaka July 2019 alikua mzima wa afya na viungo vyote na alikua akichapa kazi usiku na mchana lakini kwa sasa ni habari nyingine, alikwenda Somalia kikazi Hoteli yao ikavamiwa na kupigwa mabomu na Al-Shabaab na kumsababishia kukatika mguu papohapo eneo la tukio.
Sio mguu tu hata jicho lake la kushoto lilijeruhiwa pamoja na mkono wa kushoto, kingine kinachompa maumivu makali ni wenzake kufariki papohapo eneo la tukio, iwapo utaguswa na aliyoyapitia unaweza kutuma mchango wako wowote kwa namba ya M-PESA 0766-801-215 kumsaidia matibabu ya jicho, mkono na mguu.
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA WANAOFIA TANZANIA
MTANZANIA ALIEFUNGWA SOUTH AFRICA “KISA NI MWANAMKE WA ZIMBABWE”