Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa amekerwa na mapungufu yaliyopo katika mradi wa maji Arusha yanayodaiwa kusababishwa na Injinia wa mradi huo ambapo amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha kuchunguza Bodi ya Mamlaka, Mkurugenzi pamoja na watumishi wengine wengine
“Hii haiwezekani kama kuna watu wapo pale Wizarani wachunguzwe kama na mimi nipo nichunguzwe ukweli ujulikame” Mbarawa