Jeshi la Polisi Wilayani Kigoma limezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kutokana na sababu za kiusalama na taarifa za kiintelijensia zilizopo.
Mkutano huo ulipangwa kufanyika siku ya leo katika Viwanja vya Mwanga Center, Manispaa ya Kigoma Ujiji.