Leo stori iliyoshika headline ni kumhusu ‘Hamida’ ambaye watu wengi hatumjui sura yake na tumebaki na imagination tu.
Sasa AyoTV na millardayo.com imekukusanyia mijadala mbalimbali na inamsogeza kwako Sheikh Kipoozeo ambaye anatueleza inakuwaje mpaka mtu kufikia hali ya jamaa yake ‘Hamida’ ya kugalagala kwenye maji.