Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo February 4, 2020,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
SAKATA LA MWAMPOSA NA MEJA KUNTA KISHERIA, MSANDO KAELEZEA “WANATAKA KUFICHA UZEMBE”