Serikali ya Ireland imesema kuwa itaongeza Billion 10 mwaka huu kama msaada kwa Mkoa wa Kigoma katika shughuli za kupambana na vifo vya Mama na Mtoto baada ya kutoa Bilioni 21 ambazo tayari zimeonyesha matokea chanya katika jamii.
Balozi wa Ireland nchini Tanzania Paul Sherlock amethibitisha hilo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya kujifungulia wazazi katika kituo cha afya cha kijiji cha Ruhita Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma ujenzi utakaogharimu zaidi ya Million 200 ikijumuisha na wodi za Vijiji vya Mwanga na Mwibuye Wilayani humo.
MREMBO ALIEACHWA AKAAMUA KUMTUNGIA WIMBO BOY WAKE, “SIKU-ENJOY MAPENZI”