Watoto wa nyumbu zaidi ya laki nne huzaliwa ndani ya miezi miwili na kwa kila mwaka ifikapo mwezi wa pili ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, nusu ya hao ndio wanaishi ambapo ndani ya dakika tatu hadi saba ndama huyo anakuwa na mbio zaidi ya fisi, imekuwa ni kivutio kikubwa kwa Watalii wa Nje na Ndani.
MAMA ALIEINGIA IKULU KUMDANGANYA RAIS “IKULU MAHALI PAKATIFU, SI SEHEMU YA KITAPELI”