Leo February 21, 2020 Moja kati ya mikakati ya Serikali ya awamu ya tano ni kufikia uchumi wa kati utakaochochewa zaidi na ukuaji wa viwanda nchini
Tanzania imekuwa ikiagiza magari kutoka nje ya nchi kwa mahitaji ya ndani na hata nchi jirani kama vile Zambia, Malawi na Rwanda
Waziri wa viwanda na biashara Innocent Bashungwa ametoa maelekezo kwa wawekezaji wa kampuni ya kuunganisha magari ya GF Trucks ambao wameonesha nia yakuwekeza nchini Tanzania katika kuunganisha na kuuza magari kufanya hivyo ifikapo Mei mwaka huu
Akizungumza Mkurugenzi wa kampuni ya kuunganisha magari Imran Karmali anasema wanauwezo wakuunganisha magari 3500 kwa mwaka na kuongeza ajira kwa watanzania pindi watakapozindua kiwanda hicho
BILION 360 KUJENGA BARABARA KM. 260 KIGOMA NA BURUNDI KUUNGANISHWA