Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mwanza inakusudia kumfikisha Mahakamani Afisa wa Mamlaka ya Mapato TRA Boniface Ipyana Mwasamboma umri wa miaka 37 kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa ya milioni moja kwa mfanyabishara ambae hakuwa na mashine ya EFD.
BODI YASHTUKIZA MABUCHANI “SIO NONDO ZENYE KUTU, NA LAZIMA MUWE NA SARE MOJA”