Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Omary Mkuyu kwa tuhuma za kumvizia na kumuua Mkewe Hawa Seif (35) kwa kumchona mkuki mgongoni na kutokea upande wa mbele ya ziwa la kushoto.
Akitoa taarifa ya tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna msaidizi wa Polisi Barnabas Mwakalukwa amesema “Inaonesha chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa kimapenzi na Jeshi la Polisi limemkata na upelezi umekamilika”.
DC ALIA NA MACHANGUDUO MBELE YA MAKONDA, KAPEWA MAHAKAMA INAYOTEMBEA