Wizara ya Afya Uganda imesema Raia wanne wa kigeni wametengwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Entebbe, baada ya kuchukuliwa kutoka Entebbe Airport kufuatia kubainika kuwa wana dalili za mafua na kikohozi “sampuli zinafanyiwa uchunguzi na tutawajulisha majibu baadae”
“Raia wanne wa kigeni wametengwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Entebbe, tumewachukua Entebbe Airport, tumeona wana dalili za mafua na kikohozi, tunapima sampuli zao majibu yatatolewa, hadi sasa hakuna aliyethibitika kuwa na Virusi vya corona, punguzeni presha”-WIZARA YA AFYA UGANDA
EXCLUSIVE: WAZAZI WANGU WAMENITENGA KISA WANANGU WALEMAVU, BABA ANATAKA KUNIFUNGA, NIMELETA NUKSI.