Rais Trump ametangaza kuzuia kwa muda safari zote kutoka Ulaya amesema hatua hiyo ni katika kujikinga na kusambaa kwa Virusi vya Corona, pia amewashauri Wamarekani mwenye umri mkubwa kuepuka kusafiri ikiwezekana.
Zuio hilo la Wasafiri kutoka Ulaya litakaloanza Kesho Ijumaa Machi 13, 2020 na kudumu kwa siku 30 halitawahusu Wasafiri kutoka Uingereza.
Rais Trump ametoa tamko hilo ikiwa ni mwitikio kwa Shirika la Afya Dunia ambalo kabla lilitangaza virusi vya corona kama Janga la Kimataifa.
UKWELI JUU YA WAHEHE KULA NYAMA YA MBWA
https://youtu.be/dc6vfZdq8M4