Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii NSSF limesema March 15 2020 ndio utakua mwisho wa kuhakiki taarifa za Wastaafu na Wategemezi, hili zoezi ni kwasababu ya kuzuia Wastaafu hewa.
“Wastaafu na Wategemezi ambao hawatoshiriki kwenye zoezi la uhakiki wataondolewa kwenye daftari la Wastaafu mpaka watakapokamilisha uhakiki huo, hii ni ili kuzuia malipo ya Wastaafu hewa” – NSSF
Tazama hii video fupi hapa chini
https://www.instagram.com/p/B9rO1zMAbeN/?utm_source=ig_web_button_share_sheet