Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuzuia Raia wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa muda wa siku thelathini kuanzia hii leo, ikiwa ni moja ya njia ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.
Akilihutubia Taifa, Rais Kenyatta amesema kuwa mpaka sasa watu watatu wamethibitika kuwa na virusi vya corona nchini Kenya, hivyo lazima ikaandaliwa mikakati ya dharura ya kukabiliana na virusi hivyo.
RC MBEYA KAWASHA MOTO “NDANI YA MIEZI MIWILI PESA ZIWE ZIMERUDISHWA”