Club ya Juventus ya Italia imethibitisha kuwa mchezaji wao Blaise Matuidi amekutwa na maambukizi ya virusi vya covid 19 vinavyosababisha homa ya corona.
Matuidi amejitenga nyumbani na anaendelea vizuri kwa sasa, Matuidi anakuwa mchezaji wa pili wa Juventus kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona baada ya Daniel Rugani.
Hata hivyo kupelekea mlipuko wa virusi hivyo vimepelekea kusimama kwa mashindano mbalimbali duniani, ikiwemo Ligue 1, Serie A, EPL, LaLiga na Bundesliga.