Ni kawaida ya Wabunge kupishana maneno wawapo bungeni na hii hutokea kwenye mabunge mbalimbali duniani ila ni mabunge machache ambayo yanarekodi ya kufikia mpaka kupigana, nakumbuka Somalia wapo kwenye hiyo list ila time hii Ukraine ndio wanamiliki headlines.