Ni Headlines za Mbunge wa Muleba Kusini, Prof.Tibaijuka ambae time hii alisimama Bungeni kutoa hoja yake kuhusu Janga la Corona Virus.
“Lazima tuangalie makabila yetu yana mbinu mbalimbali ya kupambana na homa za mapafu, COVID 19 ni mpya, ila ni lazima tuangalie pia option B, tutumie tiba mbadala, Ghana wamepona watu 33, wamerudi kwenye mwarobaini, wanafukizia wagonjwa na wagonjwa wanapona“-Prof. Tibaijuka,