Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wapya 11 wamebainika kuwa na virusi vya corona na kufanya idadi ya visa vya corona Kenya kufikia 208, wagonjwa wapya 11 wote ni Wakenya ambapo sita ni Wanaume na watano ni Wanawake, umri wao ni kati ya mwaka mmoja hadi miaka 45.
Pia imesema mgonjwa mwingine mmoja wa corona amefariki na kufanya jumla ya Watu waliofariki kwa kuugua corona kufikia tisa nchini humo, wagonjwa wapya 15 wamepona na sasa jumla ya wagonjwa corona waliopona na kuruhusiwa wamefikia 40 Kenya.
KONDOO 15 WAFARIKI KIMAAJABU, WANYONYWA DAMU BILA BANDA KUVUNJWA “HATUJAONA DAMU