Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimeendelea kupokea kwa masikitiko makubwa misiba ya Wabunge na Watanzania wengine inayosababishwa na kusambaa kwa maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19.
Kama ambavyo tumeshauri mara kadhaa, ni dhahiri hatua za ziada za dharura zinapaswa kuchukuliwa kupunguza kasi ya maambukizi na hivyo kuokoa kadri iwezekanvyo maisha ya Watanzania.
MAGUFULI ATOA SALAMU ZA MEI MOSI KWA WAFANYAKAZI “CORONA ISIWE SABABU YA KURUDI NYUMA, TUCHAPE KAZI”