Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Mahiga ukiwasili nyumbani kwake alipokuwa akiishi Manispaa ya Iringa kwa ajili ya kuagwa, kwa sasa tayari mwili huo upo Kanisa Katoliki,Tosamaganga kwa ajili Ibada ya mwisho.
Tazama LIVE kutoka Iringa muda huu kwa kubonyeza PLAY hapa chini.