Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tabora TUWASA imeungana na Serikali katika mapambano ya maambukizi ya Virusi vya Corona kwa kumkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick vifaa vya kiasasa vya kunawia katika maeneo yenye msongamano.
Zoezi la ugawaji wa vifaa hivyo ni hamasa kwa wananchi kuupokea mradi wa maji ya Ziwa Victoria uliogharimu zaido ya Bil. 600 ambao sasa umekamilika kwa zaidi ya Asilimia 90 na baadhi ya wananchi wameanza kutumia maji hayo.
DIAMOND PLATNUMZ ASIKIKA CLOUDS FM, KUSAGA ATAKA WIMBO WAKE UPIGWE