NI Mei 9, 2020 ambapo Mkurugenzi wa Kilombero Sugar, Fimbo Butallah amezungumza mbele ya waandishi wa habari juu ya Sakata la Sukari.
‘Hatujapandisha Bei ya Sukari, tunaiachia Wizara husika, lakini sisi kama wazalishaji hatujapandisha bei ila wafanyabiashara ndio wamepandisha bei na ukweli ni kwamba Viwanda hatujapandisha bei ya Sukari”-Mkurugenzi wa Kilombero.
‘Watu watulie na Sukari itapatikana katika bei nzuri na nadhani Serikali imejitoa muanga katika kushughulikia suala la bei’- Fimbo Butallha