Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amekitaka Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuwatendea haki wanachama wake wanaowakata asilimia 2 ya mshahara wao kwa kusimamia kwa dhati maslahi ya kiuchumi badala ya kugeuka kuwa adhabu kwao.