Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson amefika katika Hospitali ya Dodoma Christian Medical Centre Trust kumjulia hali Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye anapatiwa matibabu baada ya kushambuliwa na Watu wasiojulikana.
“Mgonjwa kwa sasa hivi siwezi kusema anaendeleaje lakini wanaendelea kufanya uchunguzi, kikubwa ambacho kipo ni maumivu ya mguu, yupo na nimemuona wanaendelea na vipimo vingine”- TULIA