Kijana aliyefahamika kwa jina la Mandela Malisa mkazi wa kata ya Sinoni mkoani Arusha anadaiwa kuuawa kwa kushambuliwa na vitu vyenye ncha kali na dada yake kwa madai yakumkataza kutokulala kwenye chumba alichokuwa analala baba yake
Baba mkubwa wa marehemu Emrod Malisa amesema kwamba awali ndugu hao walikuwa na ugomvi wa kifamilia, lakini baadaye dada zake walikuwa hawataki kijana huyo alale kwenye chumba alichokuwa analala baba yao ambaye amefariki miaka kadhaa iliyopita