Mwalimu mstaafu Loth Isaac, ameangua kilio mara baada ya kurejeshewa kiasi cha fedha cha milioni 20 na TAKUKURU mkoani Manyara zinazotokana na mikopo kandamizi ambapo alitozwa riba ya asilimia 300 na kulazimika kulipa milioni 42 baada ya kukopa milioni 14.