Wanafunzi 21 wa shule ya Karatu boys wilayani karatu mkoani Arusha wamefukuzwa shule baada yakudaiwa kufanya fujo nakuharibu baadhi ya vifaa vya shule
Fredy Malya ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule hiyo shule hiyo amedai kwamba kulitokea vurugu zilizosababishwa na waalimu kuingia kwenye mabweni yao usiku wakituhumiwa kutumia simu
Katibu tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega amekiri wanafunzi hao kufukuzwa baada yakufanya vurugu shuleni