Kabla ya kustaafu Ukuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri alifanya kampeni ya kuhamasisha Wafanyabiashara wadogo kuchukua vitambulisho na akiwa Puge Nzega alikuta wananchi wanatozwa 25,000 badala ya 20,000 na haya ndio yalikuwa maagizo yake.
TUNDU LISSU AIBUKA NA MAPYA “POLISI WAMEKATAA KUNIHAKIKISHIA USALAMA NIKIRUDI, AMTAJA MBOWE”