Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amemkaribisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Temeke, Godwin Gondwe huku akihimiza viongozi katika idara mbalimbali kuhakikisha wanatenga muda kwenda Mitaani kujua changamoto na adha zinazowakabili wananchi.
Akiongea baada ya kukaribishwa DC Gondwe “Namshukuru JPM kwa kutuamini Vijana na kunihamishia DSM Mkoa Mkubwa ambao RC Makonda unauongoza na umeumudu kwa dhati tunakuona kwenye TV unapambana na najifunza kwa jinsi unavyowasimamia wakazi wa DSM, nipo tayari kwenda kutekeleza maelekezo yako”
‘HOUSE BOY’ AUA KIKATILI WATOTO WA BOSS WAKE “KAWAKATA KATA NA MAPANGA”, NAE KAUAWA NA WANANCHI