Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali haitakubali mtu yoyote kuharibu amani iliyopo kwa kisingizio cha uchaguzi na kuwataka wagombea wote kutumia majukwaa ya kampeni kuhimiza amani, ushirikiano sambamba na kuwataka watu kufanya kazi na siyo kuhubiri chuki.