Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Joseph Constantine Mafuru kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Mkoani Dodoma.
Kabla ya uteuzi huo, Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili wa Jiji la Dodoma.
Mafuru anachukua nafasi ya Godwin Kunambi.
“OFISI YA CHADEMA KUCHOMWA MOTO” POLISI WATAJA WANAODAIWA KUHUSIKA