Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020.
ALIEMSHINDA ASKOFU GWAJIMA KURA ZA MAONI KAWE AFUNGUKA “NINA MBINU NYINGI ZAIDI”