Taasisi yakuzuia nakupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi million 180 za makundi mbalimbali ya wananchi na serikali zinazodaiwa kuporwa
Kaimu kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha James Ruge ametaja makundi yaliyorejeshewa fedha hizo ikiwemo million 50 za chama cha ushirika.