Leo September 4, 2020 Drone nchini Israel Jana alhamisi zimetumika kudondosha vifurushi vya bangi bure Kwa mamia ya watu katika Jiji la Tel Aviv.
Drone Hizo zinaaminika kuwa ni mali ya kikundi kinachoendesha kampeni ya kuunga mkono uhalalishaji wa matumizi ya bangi cha nchini Israel.
WAZIRI UMMY AZITAKA NGOs KUTUMIA FEDHA ZAO KWA KAZI WALIZOOMBEA, “SISI TUNAWAANGALIA KWA UMAKINI”