Mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amemtaja Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo kuwa alimsaidia kupata kibari cha ujenzi wa shule baada ya kuwekewa vikwazo na Viongozi wa Wilaya na Halmashauri kwa kuambiwa kuwa yeye ni mpinzani hawezi hawezi fanya maendeleo.
“Tumejenga Shule mpya za Sekondari tatu, kulikuwa na figisu nyingi sana, nilienda kwa Jfo na Rais alipokuja nilisema, kulikuwa na mizengwe Shule isijengwe, Madiwani wanajua, naombeni nipeni miaka mingine mitano” Matiko