Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Samweli Kiboye (Namba 3) amesema kuwa alimuomba Rais John Magufuli kutatua changamoto ya maji iliokaa kwa muda wa wiki mbili kutokana na pampu kuungua kwenye Wilaya ya Serengeti mkoani Mara ambapo tayari ameshatoa leo milioni 52 kwa ajili ya ufungaji wa pampu mpya.