Mzee alfredy Lukumay ameamua kujiajiri kwenye kilimo cha mbogamgoga kwa kipindi cha miaka saba katika eneo la Usa rive Arusha baada yakupatiwa elimu ambapo ameweza kusomesha watoto wake watatu pamoja nakujenga nyumba ambayo itagharimu zaidi ya million 20 itakapokamilika
“hii ni nyumba yangu ambayo ni matunda ya kilimo baada ya watoto kusoma shule,kama unavyoona hapa nina vitunguu magunia 120 nimelima kwenye robo tatu ya heka kwa mfano ikifika nikauza million kumi nikikata kila kitu gharama napata faida million sita”-Lukumay