TAKUKURU Mkoa wa Mbeya, inamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyeregete iliyoko Wilayani Mbarali, Adelhard Mjingo, (44), kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 kwa ahadi ya kuwa angemsaidia kufaulu mitihani.
“MTU ANALIPWA LAKI SABA KWA KUONGEA, LUGHA YA KICHINA NI LULU, SITE ZA UJENZI KUNA MGONGANO”