Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Herieth Ponsian (kushoto pichani), mkazi wa mtaa wa Kyebitembe katika Manispaa ya Bukoba kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaa aitwaye Prince Onesmo mwenye umri wa mwaka mmoja, ambaye inadaiwa alimtupa mtoni akiwa hai.