Kivuko cha MV. Ukara II kimepokelewa na wananchi wa Ukara tayari kwa kuanza kutoa huduma kati ya Kisiwa cha Bugolola na Kijiji cha Bwisya Ukara Ukerewe na kitakuwa mbadala wa kile kivuko cha MV. Nyerere kilichozama September 20, 2018 na kuuawa watu 22.