Ikufikie hii kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Baharini Zanzibar (ZMA) imetangaza kusitisha safari zote za Boti na Meli za abiria na mizigo Jumatano ijayo, Oktoba 28, 2020 ili kutoa fursa kwa Wananchi kupiga kura.
TANZANIA YAPEWA BILIONI 39 KUTOKA SERIKALI YA SWITZERLAND “HII NI MARA YA PILI AWALI BILIONI 44”