Leo November 28, 2020 Nakukutanisha na staa Hiphop Bongo Young Killer Msodoki akiwa ameshirikishwa na Nino TZ Mkali kutoka Kusini Mwa Tanzania katika ngoma kali imepewa jina ‘Nyanya’, Producer wa ngoma ni Dapro’ na video imeongozwa na Hanscana, bonyeza PLAY hapa chini kutazama
https://youtu.be/i4yiNIDMjnM