December 24, 2020 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza amefariki dunia akiwa hospitali ya mkoani Dodoma.
Leo December 25, 2020 Innocent Bashungwa, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo. “Nimepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza. Natoa pole kwa familia yake, watumishi wa BASATA, wasanii na wadau mbalimbali wa sanaa.